Jamii kujitawala, kujiwezesha na kujiendeleza
English version of this poem
 
..........
.
Nenda Kwa Watu
Shairi na Lau Tsu
.
Mtafsiri Marcellus Chegge
zimehaririwa Phil Bartle
.
 Nenda
Kwa watu;
Ishi  kati yao;
Wapende;
Jufunze kutoka kwao;
Anzia walipo;
Fanya kazi pamoja nao;
Endeleza kutokana na walicho nacho.
. . .
Lakini kwa viongozi shupavu,
Juhudi itakapofanyika,
Kazi ikamilike,
Watu watasema:
"Tumefanya sisi wenyewe"
                           Lao Tsu
.
––»«––
.
8
..
Web References for the Textbook
.Akan Studies5
The site map lists (and links) to all web oages (in English) on this web site Link to the home page of this web site
Three Mobiliser Handbooks
2008.10.28