Ukurasa wa nyumbani
Tuanze mada
Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
Русский
>తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

MDUARA WA KUAMASISHA JUMUIA

Hatua za Kuimarisha Jumuia

Na Phil Bartle, PhD

Imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Nakala ya Kufundishia

Kuiandaa jamii kuingia ni mfuatano wa hatua utakazochukua

Kuna uwakika wa hatua ya kuimarisha jamii. Zinatofautiana kwa urefu na baadhi ya vitu, lakini muundo wake unabakia huohuo.Kazi yako ni kisimamia hatua na kufuata mpaka mwisho.

The Mduara wa Kuandaa Kuimarisha Jumuia Huu ni mfano mmoja wapo,Umeazimwa kutoka Jumuia ya Uongozi ya Uganda, Hatua

Huwa unabadilika kutoka jumuia mpaka jumuia, kulingana na muda, na kutokana na rasilimali zilizopo, Sera za mwajili wako, na matukio mengine yasiyoepukika.

Hatua muhimu ni kama hizi: kwanza upate ruhusa kutoka kwa wahusika hili kufanya kazi yako. Badala ya hapo unaanza kuongeza uwelewa katika jamii ambayo inamatatizo.

Taadhari kwa watu wanaofikiria utatatua matatizo, lakini uweke wazi jamii ina rasilimali muhimu ya kutatua matatizo yao wenyewe. Yote yanaitaji nia na kujitolea na kuwa na ujuzi wa uongozi ambao utasaidia wao kupata.

Utasaidia Jumuia kuungana,kupima na kukubaliana kwenye malengo muhimu.Utawasaidia kwa kupanga na kuchagua kamati ya utendaji, au kuiendeleza iliyopo. Utawasaidia kuandaa mpango kazi na kuandaa mradi.Wasifie wanapofanya na sio wewe,hakikisha kuna uwazi, usimamizi, kutangaza.Wasaidie kushangalia kwa kumaliza, na kupima matokeo.

Uje kupitia mduara wa kuandaa jamii mara kwa mara katika tovuti hii

Hatua ya pili, anza hatua zote tena, ndio maana tunaita Mduara.

Kwa hatua ya pili watakuwa imara na wa kujitegemea zaidi,na inawezeakana ukatambua wenyeji wa kuandaa, ambao watasaidia kuimalisha mduara na wewe unajiondoa taratibu.Utarudia mduara kwa wakati usika.

Pale unapoandaa jamii kuchukua hatua,unaandaa wao kuchukua au kufanya kazi ya mduara.

––»«––

Mduara wa Kuandaa Jumuia

Mduara wa Kuandaa Jumuia

Ukiiga kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi)
na uiambatanishe kwa cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 12.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Tuanze mada