Ukurasa wa nyumbani
Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
Igbo
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
한국어 / hangugeo
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
Русский
>తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

JINSI YA KUANZA

Kuiandaa Jamii kwa kazi

na Phil Bartle, PhD

Imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Visomo vya Utangulizi

Nyaraka zinazoambatanishwa katika kuanza kwa Visomo

Kitendo chako cha kwanza kabla ya jamii kuanza kazi

Katika visomo vilivyopita umeona kuna vitu vinaitajika (kama waelimishaji) kufanya na kusoma hili kujiandaa. Katika kisoma hiki utasoma jinsi ya kuanza, mwenyewe.

Hautaifanya jamii kwenda katika vitendo mpaka ufanye kitu kwa kuandaa kwa kazi. Utaanza hatua ya mwanzo katika jamii inayojiandaa na hatua za mwanzo.

Kwa baadhi ya waelimishaji, watawala wanaonekana kama "maadui" au "wapinzani" na kuona kazi zao kama zinaongoza jamii dhaifu kupinga matayizo yanayowakabili.

Inaweza kuwa njia thabiti kwa hali nyingine, na mara nyingi itaonekana kama "muungano wa jamii" na sio "Jamii kushiriki."

Njia katika visomo (vinaendelezwa zaidi Afrika) inaonyesha kuchukua mamlaka katika upande wa kusimamia uendelevu na sera za uwakika za serikali katika kuondoa umasikini.

Baada ya kuongeza uwelewa miongoni mwa mamlaka husika, na kupata Kibali Kwako kufanya kazi yako, hatua yako nyingine ni kuongeza uwelewa miongoni kwa jamii inayolengwa au jamii unayoisaidia hili kuimalika.

kuongeza uwelewa miongoni mwa mamlaka maana yake (1) elezea malengo yako (2) njia , na (3) washawishi hao wanajamii kama wataweza kupata faida katika maendeleo yako.

Kumbuka kwamba utaweza kukumbwa na upinzani katika kubadilisha jamii, na wote wenye maslahi mengi ni miongoni mwa kundi la walengwa.

baada ya kupata kibali cha kufanya kazi yako, jamii lazima iandae (Kuongeza uwelewa, Kuimalisha umoja, Habari za uwakika, Kuchagua vipaumbele vya kufanyia kazi).

kuongeza uwelewa Mojawapo ya jamii lengwa elezea malengo yako na njia, na chukua katika njia ya kwenda mbele hili kulinda kutokea kwa matarajio yasio ya kweli.

Hakikisha habari za uwakika na kutafsiri iwe kitu kikubwa kwako .

Hiki kinakuonyesha jinsi ya kuanza

––»«––
Ukiiga kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi
na uiambatanishe kwa cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 2015.02.27

 Ukurasa wa nyumbani