Ukurasa wa nyumbani




Translations:

Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Filipino/Tagalog
Français
Ελληνικά / Elliniká
Italiano
Kiswahili
Polszczyzna
Português
Română
Српски / Srpski

                                        

Kurasa zengine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana


KUTOKA KWENYE JANGA KUELEKEA KWENYE MAENDELEO

na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Utangulizi wa Nakala (Hub)

Nakala zinajumuisha Janga Module

Kuibadili Program ya misaada kuelekea program ya uwezeshaji

Mfurulizo wa mambo lakini usio na mabadiliko or Kipindi cha mpito/mabadiliko?

Itasikika vizuri: baada ya janga unasaidia walengwa walionusurika na kurudi katika maisha ya kawaida, baadae unamsaidia kuwa katika hali ya kawaida na mwisho Maendeleo. Hii inaitwa "continuum" na inasikika kama njia nyepesi zinazopita kwenye hatua ,mbali mbali za mabadiliko.(au gia katika gari)

Sio, Mabadiliko kutoka kutoa misaada ya dharura (kutumia njia ya misaada) kuelekea kutoa kutoa misaada ya maendeleo (kwa kutumia njia ya uwezeshaji) sio hatua zinazofuatana katika muelekeo mmoja.Ni mabadiliko ya muhimu,ambayo yanachukua njia tofauti.

Hii web site, na nakala zote za kufundishia zinatolewa kwa madhumuni ya Uwezeshaji Jamii ya kipato cha chini.ni kama wana Dalili za kuwa tegemezi, wanasubili misaada kutoka nje, katika kuchangia kuondoa umasikini,inaonekana ni kinyume cha uwezeshaji.

Ni, kipindi baada ya dharura,inafuatiwa na kipindi muhimu cha kusaidia (kina angalia misaada ya haraka kwa waathirika), ni mabadiliko ya lazima ni muhimu. Hakuna dariri za wazi nini kitatokea, inawezekana ikawa tofauti na mawazo kuhusu hali halisi na muda mambo yalivyotokea.

Njia ya uwezeshaji inategemea theory ya viumbe hi (tamaduni au biological) inaitaji kufanya mazoezi (kutanua nguvu) au "mapambano" hili kuwa na nguvu ni lazima uwende mbele na sio kurudi nyuma na kusubili misaada kutoka nje, itabakia dhaifu.

Kuitajiaka kwa mabadiliko kutoka kuokoa wakati wa dharura kuelekea kwenye misaada ya maendeleo, sio mabadiliko rahisi bali ni mabadiliko magumu. Kunaitajika mabadiliko ya program,na mabadiliko magumu ni mabadiliko ya taasisi na kubadilisha akili na njia za kutoa huduma kwa wafanyakazi.

Nakala hizi za kufundishia zinawalenga waamasishaji na field coordinators, na kwa mameneja na wanachama wengine wa kutoa misaada na mawakala.Kabla ya mabadiliko inachukulia, nakala hizi zitoe baadhi ya mambo ya kuzingatia. Inaweza isiwe mabadiliko.

Kama wakala au taasisi hana mamlaka ya kujibadilisha yenyewe kutoka taasisi ya kusaidia kwenye janga na kuelekea kwenye maendeleo. au kama mazingira ayaruhusu kujibadilisha. Basi lazima isimamishe kusaidia kwenye janga kama hali ya hatari imekwisha na iende mahali pengine penye hali ya dharura.

Maamuzi ya kujibadilisha sio maamuzi rahisi,na hatua zote za kufanya mabadiliko sio rahisi.

Nakala katika hii module itasaidia katika kufanya maamuzi, na kuichukukua kwa kuifanyia kazi.

––»«––

2005 Tetemeko la ardhi Pakistan:


2005 Tetemeko la ardhi Pakistan:

Picha na Touqeer Abbas


Ukiiga kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi
na uiambatanishe kwa cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 08.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani