Ukurasa wa nyumbani
Tuanze mada




Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
Igbo
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
한국어 / hangugeo
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
Русский
>తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

CHANGAMOTO ZINAZOIKABILI JUMUIA

Upinzani Unazalisha Uimara

Na Phil Bartle, PhD

Imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Nakala ya Kufundishia

Kama unataka jumuia kuzalisha uimara,usiwe mraisi na moja kwa moja kukubali nini kinajiri katika malengo ya jumuia.

Upinzani unazalisha Uimara; Kuongeza misuli ya mikono yako itakuwa imara kama utanyanyua juu.

Kama misuli yako haitakutana na upinzani,itakuwa dhaifu, kamafanya sana kwa jumuia, haitakuwa imara.

Wazo la kwanza walilipitisha jumuia linaweza lisiwe zuri, na kama unatoa changamoto, wanaweza kufikiria vizuri zaidi hatua gani wvachukue.

Tuangalie mfano halisi. Tena ,wanachama wa jumuia wanaweza kusema lengo muhimu ni kujenga Clinic.

"Kwa usawa," utujibu, " Lakini nini sababu yako kwa kuchangagua malengo?" "Je Jamii wanauwezo kwa kujenga na kutunza hiyo clinic?" "Nini matatizo clinic itayatatua? Na matatizo gani itasababisha?"

Waimarishe jamii kwa kuwasaidia kulinda changuo lao

ntaka

Kumbuka kwamba rasilimali zako ndio zitazokwenda kujenga, inategemea jinsi gani unataka kutumia pesa zako.

Kama ikitokea watoto wanakufa,basi itakuwa kitu cha kwanza kufikiri na kutatua.

Hapa ni nafasi yako kuchagua kanuni muhimu ya PHC (Afya ya msingi ); >ambayo kuzuia ni bora kuliko kutibu..

Watoto wanakufa kwa sababu ya ugonjwa wa kuharisha (diarrhoea) kwa sababu ya kunjwa maji yenye magonjwa. Angalia Maji.

Clinic itasaidia katika kutibu magonjwa,lakini ni kibinaadamu zaidi, rahisi, na itapunguza magonjwa yatokanayo na maji kwa kuchanganya vitu vitatu: (1) elimu ya usafi kuelekea kubadilisha tabia (2) kusafisha maji kabla ya kusambaza, na (3) mifreji imara ambayo itaweka maji machafu mbali na maji ya kuchwa. Zuia badala ya kutibu.

baada ya kupata changamoto ya kuanalyse matatizo na kutafuta ufumbuzi wa kweli, Jumuia watakubali kwa kuangalia tena machagua yao ya matatizo na kuchambua malengo yao

Usiwe mbishi,kubali changuo lao la kwanza.

––»«––

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 12.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Tuanze mada