Ukurasa wa nyumbani
 Maneno muhimu


Tafsiri:

Akan / c
Akan / k
العربية   / ك
العربية   / ل
العربية /   / خ
Bahasa Indonesia
Català
Deutsch
Ελληνικά /  Κ
Ελληνικά /  Ξ
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
हिन्दी /   का
हिन्दी /   ख
हिन्दी /   क्ष
Italiano
日本語 /   か
日本語 /   き
日本語 /   く
日本語 /   け
日本語 /   こ
Kiswahili
Polski / c
Polski / ć
Português
Română
Русский /   K
Русский /   X
Srpski
ไทย /   ก
ไทย /   ข
ไทย /   ค
Af Soomaali
Tiếng Việt
Türkçe
اردو /   ﺦ
اردو /   ک
Yoruba

                           

Kurasa nyingine:
Maneno muhimu
Visomo

Sociology:
Home Page
Lecture Notes
Discussions

Utilities:
Ramani ya tovuti
Wasiliana nasi
Nyaraka za matumizi
Tovuti zinazohusiana


Viungo vya maneno yanayoanza na herufi:

  A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z


Maneno muhimu that begin with the letter K

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam Otieno


Kamati ya utekelezaji ya jamii

Kamati CIC ni Bodi, kamati ya maendeleo ya jamii iliyochanguliwa na jamii inayohusika na shughuli za kijamii na uongozi wa mradi wa kijamii,

Kamati ya mradi wa jamii, kamati ya utekelezaji ya jamii.kamati ya maendeleo ya jamii katika ngazi ya kijiji inayofanya kazi ya kujenga au kufanya ukarabati wa huduma za jamii.


 

Kanuni za ugomvi

Hii inatokana na soshiolojia kuwa jamii imeundwa na kikundi amabvyo vinagombeamalighafi chache zilizopo.Mapinduzi ya kilimo ambayo bado hayajakwisha yameona ugomvi kati ya wakulima na wafugaji huko Uganda, na D.R Congo, makabila duni huko Canada, Marekami na Australia, Koisan Afrika ya kusini na katik ajamii nyingine ambazo zinategemea ufugaji na uwindaji.

Labda kuuwawa kwa watutsi na wahutu ni mfano wa hivi karibuni kuonyesha gomvi hizi.Katika karne ya kumi na tisa, Amerika ya kaskazini ugomvi wake uko kati ya wafugaji na wakulima. katika soshiolojia mawazo haya yalitengenezwa na Karl marx ambaye alifikirii kuhusu wafanyakazi na wenye viwanda. Katika kazi yako kama mwezeshaji,inaweza kuwa

Català: la teoria del conflicte,   Deutsch: konflikttheorie,    Ελληνικά: θεωρια συγκρουσεων,   English: conflict theory,   Español: teoría del conflicto,   Français: la théorie en désaccord,   Italiano: teoria del conflitto,   Kiswahili: kanuni za ugomvi,   Português: teoria de conflito,   Pyccкий: Теория Конфликта,   中文 (Zhōngwén): 冲突论


 

Kazi na huduma za kijami

Katika makazi ya binadamu, nafasi nyingine zinamiliikiwa na watu binafsi au familia, hasa nyumba.

vitu vingine kama barabara, maji, au shule vinamilikiwa na kikundi au kwa pamoja, ni mali ya jamii.

Kazi na huduma za kijamii, ni moja ya elementi kumi na sita za nguvu, uhodari na uwezo wa jamii au ushirika. Angalia: ELementi za nguvu ya jamii.

Makazi ya binadamu na huduma muhimu (kama vile barabara, soko, maji, elimu, huduma za afya), maisha, uendelevu nad uwezo wa wanajamii kupata huduam hizo.

Jinsi wanajami wnavyokuwa na uwezo wa kupata huduma hizo katika jamii ndio wanavyozidi kujiwezesha. (ni katika kupi ma uwezo wa ushirika kama vile vifaa vya ofisini, vyoo, na vitu vingine kwa ajili ya wafanyakazi).

Unapoihamasiha jamii kufanya kazi, mwezeshaji unatakiwa kuwa macho na umuhimu wa mali za jamii katika uwezeshwaji.


 

Kuongeza ufahamu

Jukumu lako moja la muhimu ni kutoa taarifa muhimu na sahihi, unahitaji kutoa taarifa hiyo, ndio, kuna tatizo, lakini suluhishi lipo kwenye jamii yenyewe.

Angalia Kuongeza ufahamu. Hamasisha Watahisi kuwa unawaletea malighafi au utawasaidia katika kutatua matatizo yao (hivyo wanakuwa na mategemeo ya hali ya juu), lakini unatakiwa kunyamazisha hayo mategemeo.

 العربيّة: زيادة الوعى,    Català: sensibilització,    Deutsch: bewusstseinsbildung,    Ελληνικά: επαγρύπνηση,    English: awareness raising,    Español: sensibilización,    Euskera: kontzientzia hedatzen,    Ewe: Nyanya Nana,    فارسی: بالا بردن آگاهی,    Filipino: kamalayan,    Français: augmenter de conscience,    Galego: concienciación,    हिन्दी: जागरूकता ह स्थापना: ,    Italiano: Risveglio,    日本語: 意識を高める,    Kiswahili: kuongeza ufahamu,    Português: aumento de conhecimento informativo,    Română: constientizare,    Pyccкий: повышение информированности,    తెలుగు: ఎరుగుదల పెంచడం,    Türkçe: farkındalğıin arttrilmas,    中文 : 提高知情度


 

Kujengea uwezo; kuendeleza uwezo

kuongeza "uwezo" (nia) ya jamii au ushirika. Uwezeshaji. Uimarishaji.

Angalia Elementi za Ushupavu kwenye orodha ya lelemnti kumi na sita za kuendeleza uwezo.

Tofauti kati ya kuendeleza na kujengea uwezo uko kwenye wapi nguvu hizo zinatokea.

Neno "kujenga uwezo" lina maanisha watu wengine nje ya jamii husika wanatoa nguvu zao katika kuongeza uwezo.

Inajionyesha kwenye mawazo ya " uinjinia wa maingiliano."

Tofauti na neno"kuendeleza uwezo" ambalo linamaanisha uwezo wa kujiendeleza unatokea ndani ya jamii au ushirika husika.

Angalia msemo wa Julius Nyerere; jamii inajiendeleza yenyewe.

 العربيّة: العرب يّة: طو,    বাংলা : সক্ষমতা উন্নয়নঃ,    Bahasa Indonesia: pengembangan kapasitas,    Català: desenvolupament de la capacitat,    Deutsch: leistungsaufbau, leistungsentwicklung,    English: capacity development,    Ελληνικά: αναπτυξη ικανοτητων,    Español: desarrollo de la capacidad,    Filipino/Tagalog; paglilinang ng kakayahan,    Français: renforcement des capacités, développement des capacités, bâtiment de capacité, développement de capacité, fortifier de la communauté,    Galego: desenvolvemento da capacidade,    हिन्दी (Hindi): षमता विकास, अधिकारिकरण,    Italiano: sviluppo della capacità,    日本語: 強くする, 容量の発展,    Kiswahili: kujengea uwezo,    Malay: pembangunan kapasiti,    Português: desenvolvimento de capacidade,    Română: dezvoltarea capacitatii,    Af Soomaali: awoodsiinta,    Tiên Việt: Năng lực phát triển,    Türkçe: kapasite gelişimi,    中文 (Zhōngwén): 提高能力


Kujishughulisha kwa raia

Kwa wawezeshaji wengine, mammlaka zinaonekana kama adui au kipingamizi na kuona kazi zao kama kuongoza jamii masikini kupinga wapingaji.

inaweza kuwa ni vema kwenye mazingira mengine na wakati mwingine huonekana kama kujihusisha kiraia zaidi ya kujihusisha kijamii."

Njia inayotumika katika moduli hizi (zimetengezwa Afrika) zinaona umuhimu wa kuzileta mamlaka zote kwenye upande mmoja, ni kama kuongoza kwenye uendelevu na kutii sera za taifa za kuondoa umasikini.

 Català: compromís cívic,    Deutsch: bürgerschaftliches, engagement,    Ελληνικά: πολιτικη δεσμευση,    English: civic engagement,    Español: compromiso cívico,    Français: engagement citoyen,    Italiano: impegno civico,    Kiswahili: kujishughulisha kwa raia,    Português: compromisso cívico,    中文 (Zhōngwén): 公民参与


 

Kujitolea

Kuwasaidia masikini na wahitaji katika nyanja zote, na inapatikana katika dini zote duniani. na pia kuna kuto na kutoa.

Kama zawadi zako zinamfanya mpokeaji kuwa tegemezi kwako, utakuwa humsaidii kujisaida au kumsaidia iliaweze kujimudu.

Unapotoa pesa kwa ombaomba mitaani, utakuwa unamfundisha awe ombaomba zaidi.

Kama msaada wako utamsaidia yule anayepokea (Anagalia hadithi ya Mohammed na kamba katika hadithi), itakuwa ni zawadi muhimu.

 বাংলা : বদান্যতা,    Bahasa Indonesia: amal,    Català: caritat,    Deutsch: Wohltätigkeit,    Ελληνικά: φιλανθρωπία,    English: charity,    Español: caritativo,    Euskera: karitatea,    Filipino/Tagalog: kawang-gawa,    Français: charité,    Galego: caridade,    Italiano: carità,    日本語: 慈善,    Kiswahili: kujitolea,    Malay: amal,    Português: caridade,    Română: caritate,    Tiên Việt: lòng nhân từ,    Türkçe: yardimseverlİk,    中文 (Zhōngwén): 慈善


──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi
na ufanye marejesho www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network (VCN)

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
──»«──
Imehakikiwa: 2015.10.13


 Ukurasa wa nyumbani