Ukurasa wa nyumbani
 Maneno muhimu


Tafsiri:

Akan
العربية
Bahasa Indonesia
Català
Deutsch
Ελληνικά
English
Español
Euskara
Filipino/Tagalog
Français
Galego
हिन्दी /  र
हिन्दी /  ऋ
Italiano
日本語 /   ら
日本語 /   り
日本語 /   る
日本語 /   れ
日本語 /   ろ
Kiswahili
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
Русский
Srpski
ไทย
Türkçe
Tiếng Việt
اردو /   ر
اردو /   ڑ
Yoruba

                           

Kurasa nyingine:
Maneno muhimu
Visomo

Sociology:
Home Page
Lecture Notes
Discussions

Utilities:
Ramani ya tovuti
Wasiliana nasi
Nyaraka za matumizi
Tovuti zinazohusiana


Viungo vya maneno yanayoanza na herufi:

  A   B   Ch   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   R   S   T   U   V   W   Y   Z


Maneno muhimu R, ya maendeleo ya jamii, uwezeshaji na ushiriki

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam Otieno


Ramsisha

Wakati mwingine huitwa ramsa jamii,  Kutoka kwenye neno la kilatini anima (uhai, nafsi, moto, mwendo-binafsi ).  kuisaidia au kuiongoza jamii ili ijiendeleze yenyewe, ili iishi ili iendelee

Wakati mwingine hutumika kama mbadala wa uhamasishaji. Ramsa inamaanisha kuungana na kuisaidia jamii kufanya kile (kwa umoja) inachotaka kufanya.

Mafunzo ya utawala wa kijamii yanaichukua ramsa katika ngazi nyingine, kutumia mafunzo ya utawala kuongeza uwezo wa jamii husika, au shirika la kijami, kufanya maamuzi, kupanga, na kupanga utawala wake binafsi. Inawafundisha wanajamii na viongozi wa kijamii juu ya njia za utawala zinazotakiwa ili kuisaidia jamii kujiendesha yenyewe.

Pia inatia moyo na kuwafundisha viongozi wa kiserikali, mamlaka husika na viongozi wa jamii kuacha ubosi wa kutoa nyenzo na huduma. watajifunza kuiwezesha jamii kutambua rasilimali na kuchukua hatua katika kutoa na kuimarisha makazi ya binadamu na huduma muhimu

 العربيّة: تنشيط,    বাংলা : অনুপ্রেরণা,    Bahasa Indonesia: animasi,    Català: animació,    Deutsch: animation,    Ελληνικά: εμψυχωση,    English: animation,    Español: animación social,    Euskera: animazioa,    فارسی: فعالیت,  Filipino: pagbibigay-buhay panlipunan,    Français: animation sociale,    Galego: animación,    हिन्दी : सजीवता, एनिमेशन,    Italiano: animazione,    日本語: 活発化, 社会活発化,    Kiswahili: ramsa,    Malay: animasi,    Português: animação, animação social,    Română: animare,    Pyccкий: анимация,    Tiên Việt: sự nhiệt tình,    Türkçe: canlandırmak,    中文 : 激励


 

Ramsa

Mwezeshaji. Angalia: Ramsisha.

 العربيّة: العربية,    বাংলা : অনুপ্রেরক,    Bahasa Indonesia: animator,    Català: animador,    Deutch: animator,    Ελληνικά: ζωοδότης, κινητοποιητής, activist,    English: animator, mobilizer, activist,    Español: activista,    Euskera: animatzailea,    Filipino: Pagbibigay-Buhay,    Français: mobilisateur, animateur,    Galego: animador,    Italiano: animatore,    日本語: 訓練士,    Kiswahili: ramsisha,    Malay: penganimasi,    Português: animador,    Română: animator,    Pyccкий: аниматор,    Tiên Việt: người vận động,    Türkçe: canlandırıcı,    中文 : 激励者


 

Rushwa

Kutokuwa waaminifu, ni moja ya vitu vnavyosababisha umasikini,

Angalia: Sababu za umasikini.

 Català: corrupció,    Ελληνικά: διαφθορα,    Deutsch: korruption, unehrlichkeit,    English: corruption, dishonesty,    Español: falta de honradez,    Filipino/Tagalog: di-matapat,    Français: malhonnêteté,    Italiano: corruzione, disonesta,    Kiswahili: rushwa,    Português: desonestidade,    Română: necinste,    Af Soomaali: daacaddarro,    Tiên Việt: tính không thành thật,    中文 (Zhōngwén): 腐败, 不诚实


──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi
na ufanye marejesho www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network (VCN)

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
──»«──
Imehakikiwa: 2015.10.14


 Ukurasa wa nyumbani