Ukurasa wa nyumbani
 Maneno muhimu


Tafsiri:

Akan
Bahasa Indonesia
Català
Deutsch
Ελληνικά
Español
Euskara
Filipino/Tagalog
Français
Galego
हिन्दी  / इ
हिन्दी   ञ
Italiano
日本語
Kiswahili
Português
Română
Русский
Srpski
Tiếng Việt
Türkçe / i
Türkçe / ı
اردو /   ع
اردو /   غ
Yoruba

                           

Kurasa nyingine:
Maneno muhimu
Visomo

Sociology:
Home Page
Lecture Notes
Discussions

Utilities:
Ramani ya tovuti
Wasiliana nasi
Nyaraka za matumizi
Tovuti zinazohusiana


Viungo vya maneno yanayoanza na herufi:

  A   B   C   D   E   F   G   H   I   J   K   L   M   N   O   P   Q   R   S   T   U   V   W   X   Y   Z


Maneno muhimu that begin with the letter I

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsire: Alpha Mukama, Abdulrazzaq Adam Otieno


Iliyo ya jamii

Kwa mradi au ushirika ili kuwa wa jamii, ni lazima ianzie kwenye jamii, na ni lazima iwena wanachama, na kuwa na maamuzi yake binafsi (sera na uongozi) yanayofanya na wanachama.

Kwa ushirika, au mradi wa nje amabao upo tu ndani ya jamii, kamwe hauwezi kusema unamilikiwa na jamii. pia kuomba ushauri kutoka kwa viongozi wa jamii hakuufanyi mradi kuwa wa kijamii.

kuna tofauti kubwa kati ya mradi unaomilikiwa na jamii, na uliopo katika jamii. (mafano kliniki, mradi wa uzalishaji mali) hiyo ni kwamba ipo kwenye jamii.

Kuitwa mali ya jamii, ni sawa ushirika, ujenzi, huduma nni lazima zichaguliwe na kuchujwa na kuongozwa na jamii nzima (sio baadhi tu ya kazi). Cha msingi nikuwa maamuzi yote yafanyike ndani na wanajamii hapo itakuwa ni mradi wa jamii.

Angalia Kazi za kijamii katika makambi ya wakimbizi.

 বাংলা : জনগোষ্ঠি ভিত্তিক,    Bahasa Indonesia: berdasar masyarakat,    Català: basat en la comunitat,    Deutsch: gemeindenah,    Ελληνικά: βασισμένο,    English: community based,    Español: basado en la comunidad,    Euskera: komunitatean oinarritutako,    Filipino/Tagalog: batay sa komunidad,    Français: fondé sur la communauté,    Galego: baseado na comunidade,    Italiano: community based,    日本語: 共同体を基盤とする,    Kiswahili: ilyo ya jamii,    Malay: berasaskan komuniti,    Português: baseado na comunidade,    Română: ancorata in comunitate,    Tiên Việt: nền tảng, cơ sở của cộng đồng,    Türkçe: toplum merkezli,    中文 (Zhōngwén): 以社区为本


──»«──
Kama umeona neno linalohusiana na uwezeshaji jamii na unataka kujadili, tafadhali tuandikie.
kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi
na ufanye marejesho www.cec.vcn.bc.ca
This site is hosted by the Vancouver Community Network (VCN)

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Ukurasa umesanifiwa na Lourdes Sada
──»«──
Imehakikiwa: 2015.10.13


 Ukurasa wa nyumbani