Ukurasa wa nyumbani
Tuanze mada
Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
한국어 / Hangugeo
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
>తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

KUANDAA NJIA

Pata Kibali kutoka kwa mamlaka husika

Na Phil Bartle, PhD

Imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Nyaraka za kufundishia

Waonyeshe mamlaka za serikali za Mitaa jisni gani uwezeshaji wa jamii utawanufaisha wao.

Kabla ujaanza kufanya kazi katika jamii lengwa,lazima uwe umepata ruhusa zote zinazoitajika, na ushirikiano wa dhati, kutoka kwa mamlaka husika na viongozi wanaousika na eneo unalofanyia kazi.

Kwa baadhi ya waamasishaji, mamlaka husika itawaona kama "maadui" au "wapinzani" na kuangalia kazi zao kama zinaandaa jamii masikini kukataa "utawala wao mmbaya".Inaweza kuwa njia mzuri kwa maadhi ya matukio, na kuonekana kama " Kuungana kwa wananchi"na sio"Ushiriki wa Jumuia."

Njia katika visomo ( vimeendelezwa zaidi Africa) na kuonekana kuchukua mamlaka za serikali kwa upande mmoja wa kuongoza utengemaa na uwakika wa sera ya taifa na mipango ya kuondoa umasikini.

Kumbuka kwamba una njia mbili (wanaofaidika), sio tu, (1)Jumuia lakini pia (2) uongozi wa serikali za mitaa ambao upo kwa eneo ambalo jumuia inaishi.

Malengo yako kwa kila jumuia ni kuimarisha na kutangaza mambo ya kujitegemea. Malengo yako kwa mamlaka usika ni kufanya kazi kuelekea uimara endelevu kwa kwenda mbele na kufanya mazingira (kisiasa na kiuongozi), uongozi ("mamlaka"), na wataalamu wa ufundi ni kuraisisha kutoka kuwa "mtoaji" na kuwa "muezeshaji wa jumuia kujitegemea. "

Hii sio kazi ndogo

Kama mwanasiasa anaweza kusema anaweza "kutoa" (mfano kuwapa jumuia vitu), na kupata umaarufu na kura.Kunawezeakana kukawana matamanio mapana katika njia za kutoa.

Pia kama , wasimamizi na wataalam wakisema wanaweza "kutoa",wanaweza kuamini, kwamba wanaweza kusaidia taaruma zao na kupanda vyeo.Wanaweza kuwa na matamanio mapana na sio kubadilika na kuwa "wawezeshaji"

Mapango wako ni kuelezea kwamba watafanikiwa kwa kuacha njia za "kutoa" na kuelekea kwenye njia ya "kuwezeshwa".

Ukweli ni kwamba, kama wataelekea kutoka kwenye njia ya "kupewa" na kuelekea njia ya" kuwezeshwa" wanaweza kufaidika.Kwa sababu kila jumuia wana rasilimali isiyoonekana na kuweza kutambuliwa na kutumika kama mamlaka ya nje walitegemea kutoa rasilimali zote. Kama jumuia itapewa majukumu kutoa vitu vyao na huduma, na kupewa mafunzo ya uongozi kufanya, rasilimali nyingi zisizoonekana zinaweza kuonekana.

Kama viongozi na mamlaka husika wanaelekea kwenye njia ya uwezeshaji, matokeo yake ni kuimalika kwa jumuia na inaweza kuwa mwanzo wa kuwa maarufu,kupata kura,taaruma na kupandishwa vyeo. Ni kazi yako kueleza kwamba njia ya "kutoa" inaweza kuwanufaisha viongozi na mamlaka husika kwa kipindi kifupi, lakini sio njia ebdelevu,lakini njia ya "kuwezesha" inaweza kuchangia katika maendeleo ya kipekee na kukua na kuwanufaisha wao kwa kipindi kirefu.

Unaweza kuwavutia mamlaka husika manufaa ya kuimarisha jumuia,unaweza kupata kibari cha kufanya kazi kwa urahisi, kupata ushirikiano mzuri, na kuweza kukabiliana na matumaini makubwa ambayo yanaweza kuzuia kuimarisha na kujitegemea kwa jumuia.

Kupata kibari cha kufanya kazi kutoka mamlaka husika, ni vizuri kuwapa nyaraka, zinazoonyesha sera kamili, na makubaliano. (MOU), Unaweza kuwa. (Hii inategemea na matukio utakayoyapata). jinsi utakavyoelezea, jinsi gani watafaidika kwa kuwa na jumuia imara na za kujitegemea, kwenye maeneo yao ya kuongoza.

Kama Budget na ratiba yako ya kazi itaruhusu,uu ni muda wa kupanga Semina kwa ajili ya kuiweka sawa mamlaka husika.

––»«––
Ukiiga kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi)
na uiambatanishe kwa cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 12.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Tuanze mada