Ukurasa wa nyumbani
Tuanze mada
Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
한국어 / Hangugeo
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
>తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

MIJADARA YA WAZI

Jinsi ya Kuendesha Mikutano ya Wazi

na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Nakala ya Kufundishia

Muamasishaji unaitaji kuwasiliana na watu katika jumuia

Kuongeza uwelewa na kujipanga kwa jumuia,kifaa chako kikubwa ni mikutano ya adhara ambapo mijadara ndio itakuwa mada kubwa.

Hapa ni muhimu kuongea na waamasishaji wako Malengo, kama inavyoonyesha juu, na kanuni muhimu, ni Maneno muhimu.

Na zaidi

Usikariri maana; zitafsiri kanuni zote kwa kadri unavyoelewa,na zijadili katika kijarida chako na wafanyakazi wenzako. Usisome kama unafundisha injili kama mchungaji; usiutubie kama mwanasiasa; usitoe muhadhara kama professa, zuia kuweka pointi au kuisma kama imla.

Fanikisha. Uliza maswali. Simamia.

Njia yako mzuri ni uwe ni kuwatumia wasomi wa Kigiriki,Socrates,ambaye alifundisha siku zote kwa kuuliza maswali, hakutoa majibu. Halikuwa muonozaji mzuri, kuongoza watu kufukiria (kupima na kuona) wao wenyewe.

Uonekane umetulia, unajiamini na upo safi.Toa maswali katika washiriki, muhimu kuuliza swali lakawaida na lenye kuonyesha uaibu kwa ajili ya kupata maoni.Usiruhusu mtu ambaye anajiamini sana kuchukua au kutawala mjadara.

Katika mkutano wa adhara unaweza pia kutambulisha "chemsha bongo" kipindi,ambacho utatumia tena katika kipindi cha kupanga kikundi cha uongozi.

Elezea kwamba vipindi tofauti vina misingi tofauti ya kuongoza.

Fungua mjadara, ambao utaongozwa na msimamiaji na kuuliza maswali, ataruhusu mijadara na mazungumzo; "chemsha bongo" haina.

Katika chemshabongo utasisitiza hakuna mjadara, hakuna kupingana, hakuna kuongea kati ya mtu na mtu. Utaomba maoni na kuandika kwenye ubao,yeote hata kama mibaya, na mwisho kuchagua kwa vipaumbele katika orodha ya maoni. "Chemshabongo" ina muundo na inaangalia kwa washiriki kusoma na kufanya kwa vitendo.

Usiwaambie wanajumuia kufikiria au nini cha kufanya

Unaweza kutaka,uwe na malengo ya kuwawezesha, pigania kutokuwa na matamanio,ujinga, kuwa tegemezi, magonjwa na kutokuwa na uwazi (vyanzo vya umasikini). Lakini uongoze hili waje na mawazo yao,na maamuzi yao. Lazima uchukue njia za kusimamia kama unataka kuwezesha na kuwaimarisha ( kutoa muhadhara na kuubiri)

––»«––

kukusanyika kwa Jumuia


kukusanyika kwa Jumuia

Ukiiga kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi)
na uiambatanishe kwa cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 12.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Tuanze mada