Ukurasa wa nyumbani
Fasiri:

Bahasa Indonesia
বাংলা / Baṅla
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
English
Español
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
Polszczyzna
Português
Română
Русский
Српски / Srpski
తెలుగు /Telugu
Tiếng Việt
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

MRADI WA UHAMASHISHAJI

na Phil Bartle, PhD

imetafsiriwa na Wamalwa Philip


Utangulizi wa Sehemu (Kitovu)

Nyaraka Zilizoko Kwenye Huu Uhamashishaji Sehemu

Maandishi Mengine:

Kuifanya jamii ichukue hatua

Kuwezesha jamii, kukuza ushirika wa jamii, kipindi cha uhamashishaji, kusisimua miradi ya kujisaidia, kuleta mabadiliko ya jamii na kuifanya ijitegemee, vita vya kuondoa umaskini mhamashishaji– hii yote ni misururu ya mradi inayohusiana. Anayeanzisha miradi hii hufaamika kwa majina kama mhamashishaji, mwelekezaji, mwanaharakati, wakala wa mabadiliko, afisa wa maendeleo ya jamii. Misururu ya sehemu za mafunzo ya kuwezesha na kuimarisha uwezo wa jamii za mapato ya chini pamoja na vifaa kadhaa vya miradi hiyo.

Msururu huu unajumulisha: Utangulizi wa Mradi wa Uhamashishaji,utangulizi huu, Kipindi cha Uhamashishaji, kijitabu cha semina, Kipindi cha Uhamashishaji, kikifafanuliwa kwa kina, Michoro ya Kipindi cha Uhamashishaji, imechorwa Julianna Kuruhiira, ikiangazia kila hatua ya kipindi, Kuwa Mhamashishaji, ukarasa mmoja wa mafunzo wenye maelezo ya kile kinachohitajika kuwa mhamashishaji na kazi na jukumu lake, Kuleta Umoja, inaeleza kwamba jamii kwa kawaida huwa na migawanyiko, lakini mradi huu lazima uunganishe jamii hiyo ili kuwezesha kupata maafikiano ya jamii kuhusu miradi, Kula na Marafiki, inaeleza umuhimu wa chakula katika kuwezesha na kuimarisha jamii, Mafunzo kama Njia ya Kuhamashisha, inaeleza njia maalum ya kufundisha inayoshirikisha mafunzo kuhusu uongozi na usambazaji wa ujuzi.

Kwa Maonyesho ya Power Point ya kipindi cha uhamashishaji, ikiwa ni maandishi pamoja na michoro yake, tazama. Maonyesho ya Power Point.


Kipindi cha Uhamashishaji

––»«––

Ujenzi wa Mradi wa Jamii:


Ujenzi wa Mradi wa Jamii

Ikiwa utanakili au kuiga maandiko kutoka kwenye tuvuti hii, tafadhali kiri au tambua waandishi/watunzi
na uweke kiungo kinachoelekea kwa tuvuti hii cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 11.11.2011

 Nyumbani