Ukurasa wa nyumbani
Tuanze mada

Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
Български език
Català
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
Igbo
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kiswahili
한국어 / hangugeo
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Português
Română
Русский
>తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Türkçe
اردو / Urdu

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Maneno muhimu

Wasiliana nasi

Nyaraka za matumizi

Tovuti zinazohusiana

KUONGEZA UELEWA

Bila Kuongeza Matamanio

Na Phil Bartle, PhD

Imetafsiriwa na Jacob Lisakafu


Nakala ya Kufundishia

Chukua njia nzuri kukabili makadilio ya uwongo

Baada ya kujiandaa mwenyewe na kupata ruhusa kutoka kwa mamlaka husika,ni muda wa kuwavutia wanachi/jumuia kuchukua hatua kwa vitendo.

Utaanza hii kazi kwa kuandaa na kuita Mkutano wa watu wote kwa kuwajumuisha wanajumuia wote. Huu ni sura ya mwanzo katika mduara wa kuanza "kuongeza uwelewa"

Unaweza kuona tabia ya baadhi ya watu kuonyesha matamanio ya kuudhuria mkutano, wanaweza kuja na kufikiri wanawake hawatakuja.Kazi yako ni kuakikisha wanawake wanaudhuria.

Sawa sawa na tabia za watu wengine wanaoitaji kuimizwa:vijana, watu wasiojiweza, makabila madogo, watu wenye kuona aibu, watu wa kutoka dini ndogo,watu wasiojua kusoma,watu masikini sana, na watu/jamii iliyotengwa.

Unapoanza kuongelea kuhusu matatizo ya Jumuia, na waulize nini matatizo muhimu zaidi kwao,wanakuwa na tabia upo pale kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa matatizo yao.Jitahidi kuondoa hiyo fikra kwa kuwaambia wapo pale kwa ajili ya kuondoa matatizo yao wenyewe;Upo pale kwa ajili ya kuwasaidia na kuwasimamia, na sio kufanya kwa ajili yao.

Sawasawa, wanaweza kufikiria utatoa rasilimali kwa ajili ya kutatua matatizo yao. Haraka kataa mawazo yao, elezea kwamba watambue na watoe rasilimali zao wenyewe;upo kwa ajili ya kuwasaidia na kuwasimamia kutambua matatizo yao.

Utajifunza kutumia Historia , Mashairi na kulinganisha hili kuelezea points, Moja wapo ni "Usimuombe Ng'ombe kukupa mayai";Uimuombe Kuku kukupa Maziwa.

upo pale kutoa Mafunzo ya uongozi na kuwaongezea hari;haupo pale kutoa pesa,pipi au mabati ya kuezekea.

Unaweza kuzuia watu kuweka matarajio.Uwanaweza.

Lazima huwe active na kutoa mawazo mabaya ambayo yatawaongezea matamanio yasiyokuwepo (kama unatoa rasilimali).Kama hujafanya hivyo, utaona mawazo mabaya mbeleni amabayo yatakufanya kurudia kazi yako yote. Watu watasema uliwaaidi kuwapatia rasilimali lakini umeshindwa kuwatimiza ahadi zako.

Kama unataka kuongeza Uwelewa, Uwelewa kuhusu nini ?

Kumbuka malengo yako yanatofautiana na malengo ya jamii.

Uwanaweza kutaka kusambazwa kwa maji ya bomba/kisima, Clinic, Shule au barabara

Unataka Jumuia kuwa imara na ya kujitegemea, kupunguza umasikini,kuongeza usawa wa jinsia, kuimarisha utawala bora.Uwelewa unaotaka kuongeza, haujali kama Jumuia ni masikini,wanauwezo wa kutatua matatizo, na kuwa imara.Haya yote yanaitaji kuamua kwa iyari yao wenyewe, na uongozi wa mafunzo unaotoa.

Kutoa habari za uwakika ni muhimu (zuia kuongezeka kwa matamanio ya uongo)

––»«––
Ukiiga kutoka kwa tovuti hii, tafadhali muungame mwandishi)
na uiambatanishe kwa cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 12.11.2011

 Ukurasa wa nyumbani

 Tuanze mada