Ukurasa wa Nyumbani




Tafsiri:

'العربية / al-ʿarabīyah
Bahasa Indonesia
বাংলা / Baṅla
Български език
Català
Cebuano / Sugboanon
中文 / Zhōngwén
Deutsch
English
Español
Euskara
Ewe
فارسی / Fārsī
Filipino/Tagalog
Français
Galego
Ελληνικά / Elliniká
ગુજરાતી / Gujarātī
हिन्दी / hindī
Italiano
日本語 / Nihongo
Kinyarwanda
Kiswahili
بهاس ملايو / Bahasa Melayu
Polszczyzna
Português
ਪੰਜਾਬੀ / Pañjābī
Română
Русский
सिन्धी / Sindhi
Af Soomaali
తెలుగు /Telugu
ไทย / Thai
Tiếng Việt
Türkçe
اردو / Urdu
Èdè Yorùbá

                                        

Kurasa nyingine:

Visomo

Ramani ya tovuti

Funguo za maneno

Wasiliana nasi

Hati muhimu

Kurasa muhimu

Matayarisho

Mwongozo wa Mratibu

Mwandishi Phil Bartle

Mtafsiri; Marcellus Chegge na Elie Chansa


Utambulisho wa Kitengo

Hati zilizoko kwa kitengo cha Kujitayarisha

Kujitayarisha kuwa mratibu

Ili uweze kufaulu kueneza maendeleo ya wenyewe kwa wenyewe katika jamii, lazima ujitayarishe.

Lazima ujue na ufahamu lengo lako; lazima uijue na kuifahamu jamii unayoilenga; lazima uwe na ujuzi unaohitajika; itakubidi uelewe fikra muhimu za uhamasishaji.

Kitu cha kwanza kufanya sasa ni kuanzisha shajara. Daftari la bei nafuu litafaa. Labda ungependelea kutumia madaftari manne na kuyapa majina haya: (1) Malengo na dhana; (2) Jumuiya inayolengwa; (3) Mbinu za uratibu, na (4) Shajara ya kila siku.

Kwa njia yeyote ile upendayo kujiandaa, ni muhimu uanze kuandika muhtasari na kumbukumbu sasa. Andika ukiwa fikirani na atakayechukua mahali pako kama msomaji wako.

Kitengo hiki kinakufahamisha vitu unavyohitaji ili kujitayarisha. Usidhani ya kwamba unaweza kujitayarisha mara moja tu, na ukamaliza.

Sisi waratibu huendelea kwa mfululizo kujifunza zaidi na zaidi kuhusu yote yaliyotajwa katika sura hii, ni njia isiyo na kikomo na hatutafaulu kama tutafikiri kwamba tunao ujuzi wote.

––»«––

Kipindi cha Mafunzo:



kama utanakili maandishi kutoka kwenye mtandao huu, tafadhali mnukuu mwandishi au waandishi,
na ufanye marejesho cec.vcn.bc.ca/cmp/

© Hakimiliki 1967, 1987, 2007 Phil Bartle
Web Design: Lourdes Sada
––»«––
Imeratibishwa mwisho: 05.12.2013

 Ukurasa wa nyumbani